UONGOZI
nimamlaka au karama ya kuwaonyesha watu njia kwa vitendo. kipimo cha uongozi ni jinsi gani kiongozi anaweza kuleta ushawishi kwa watu na kufikia maendeleo yalio tarajiwa katika kijiji au jamii inayo mzunguka kiongozi husika.
Kingozi bora hana muda wa kulalamika bali anafuata ufumbuzi wa matatizo ya wananchii au watu walio chini yake napia kiongozi bora akiongea watu humsikiliza
VIONGOZI wanapatikana kwa njia mbalimbali kutokana na katiba husika ya mahali hapo au chama husika kilichopo hapo lakini lakini kuna njia nyingi za kuainisha viongozi lakini njia ya msingi ni kuangalia jinsi kiongozi alivyo ingia madarakani na utaratibu wa kuongoza
Katika ungozi wapo wafalme, maraisi,watemi,machifu,wakurugenzi.
NJIA/JINSI WANAVYO PATIKANA VIONGOI .
1.WALE WANAO PATA UONGOZI KWA KURITHI
hawa ni viongozi ambao hupata madaraka kwa kurithi kutoka kwa baba au mama, wengine hutokea babu alikiwu kiongozi wa jimbo hilo. Mfano malikia elizabet wa uingereza
2.WANAOPATA UONGOZI KWA NJIA YA UDITECTA.
Hawa ni viongozi ambao huwa pata madaraka kwa kutumia mabavu na himaya walionayo kwa uchu wa madaraka mfano nguli iddi amini dada ameweza kupata ungozi katika nchi ya uganda kwa njia ya ubepari
4.KUNAVIONGOZI WANAOPATIKANA KWA NJIA YA AMANI.
Je Ni njia ipi unapendekeza itumike katika nchi zetu za kiafrika
ReplyDeleteThe best approaches to in african especial tanzania the orgnazation should establsh the in order to trete them coz kunaviongoz sio waadirifuu
Delete